Ofa maalumu kuelekea mwaka 2018



OFA MAALUMU KWAKO.
Mtandao wa Minasoft Technology Tanzania unakupa ofa wewe mfanyabiashara mdogo na mkubwa ama mjasiriamali kumiliki blogu kwa ajili ya kutangaza na kuuza bidhaa zako mitandaoni kwa gharama nafuu sana.
Kupata ofa hii unaweza lipia gharama ya Tsh 30,000 tu ya kitanzania pamoja na kupatiwa kitabu cha Hatua 6 muhimu za mafanikio na kitabu cha mungozo wa Blogu.
Gharama hii inajumuisha vitu vifuatavyo:
1. kufungua email
2.Kufungua blog
3.kukuwekea template bora
4.Kuiunganisha Blog yako na mitandao yako ya kijamii
5.Kuipeleka Google,Bing, na Yahoo.
Pamoja na Mafunzo ya jinsi ya kuiendesha Blog yako.
KUMBUKA HUDUMA ZETU NI ZA VIWANGO BORA
KWA MAWASILIANO WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBARI - 0658020907
Au barua pepe maarifaprofits@gmail.com
Like & share our page Minasoft Technology

Post a Comment

0 Comments